Kwikwi Mpya
HOME
MATUKIO
KITAIFA
KIMATAIFA
ELIMU
SHULE
AFYA
KOMPYUTA
NIIJUE
MATENGENEZO
DARASA
UJASILIAMALI
MICHEZO
Kitaifa
Kimataifa
Usajili
UTALII / VIVUTIO
Fukwe
Daraja
Hifadhi
Miji
VIPAJI
ABOUT US
ABOUT US
CONTACT US
KITAIFA: Brazil yaisamehe Tanzania mabilioni ya fedha ya mwaka 1979. Kamanda Mambosasa amtaka polisi anayejiita Faru john. Mwenyekiti wa serikali ya mtaa akamatwa na polisi baada ya kumkaribisha mkuu wa mkoa kwenye kikao cha kijiji akiwa amelewa. Bunge lahitimishwa watanzania wakishuhudia kheri na vitimbwi. Kina Manji wasomewa mashtaka saba wakiwa muhimbili. Sakata la mimba shuleni latua kwa ma-DC. Majaliwa: Marufuku kusafirisha chakula nje ya nchi. Bakwata yalaani mauaji Kibiti. JPM kuzindua viwanda Pwani leo katika ziara ya siku 3 inayoanza mkoani humo. Kamusi Kuu ya kiswahili yapitishwa Bungeni. ********** KIGAMBONI: Hali ya hewa ni ya baridi kiasi na upepo, wananchi washauriwa kuwa makini na upepo, vumbi wakati wa mchana na baridi wakati wa usiku. **********KIMATAIFA: Boti yazama, 6 wafa, 20 wakimbizwa hospitali Colombia. **********BIASHARA: Sekta ya Benki yaanza kuona nuru mpya. Rangi itakuongezea au kukupunguzia wateja katika biashara yako. Mazingira ya biashara yaboreshwe kukuza uchumi, kuondoa umasikini. Shilingi 50 yaanza kupoteza bidhaa za kuendananazo baada ya wafanyabiashara wengi kutengeneza zaidi vitu vya shilingi 100. *********MICHEZO: *** UEFA: Timu za EPL zaanza vyema mzunguko wa kwanza. Diego Costa aachwa kwenye kikosi cha wachezaji 25 wa chelsea watakaoshiriki UEFA hatua ya makundi. Zlatan Ibrahimovic ajumuishwa kwenye kikosi cha wachezaji 25 wa Man United watakaoshiriki UEFA hatua ya makundi. Real Madrid bingwa. ENGLAND: Chelsea bingwa EPL, Conte achaguliwa kocha bora wa msimu. . ******** LA LIGA: Real Madrid bingwa la liga. ******* USAJILI: Lacazette kumfikirisha upya Sanchez juu ya kuihama Arsenal. Atletico yamtaka Diego Costa kutulia Chelsea hadi Januari.*********** AFRIKA: Ligi ya vilabu bingwa Afrika iko katika hatua ya makundi. AFCON 2017; Cameroon alitawazwa kuwa Bingwa baada ya kuifunga Misri goli 2-1 katika fainali na sasa inacheza kombe la mabara. ******** Pata habari hizi na nyinginezo nyingi kupitia habari zetu za michezo za kimataifa. ********. TANZANIA: *** Simba yazidi kufanya kweli. Msuva aipaisha TZ. TRA: Klabu za soka zilipe kodi. *** KIGAMBONI: Uhaba wa ligi ndani ya Wilaya ya Kigamboni umezorotesha uibuaji wa vipaji na kudumaza viwango vya wachezaji waliopo. Wadhamini waombwa kujitokeza kuanzisha ligi mbalimbali wilayani humo ili kuwaokoa vijana wengi na mambo mabaya. Katika uwanja wa Mnadani karibu na maeneo ya Tungi kwa kasilati ligi ambayo inakusanya wachezaji wengi kwa sasa imeisha kwa Mkunazini kuibuka bingwa katika fainali baada ya miaka mingi kupita. Ligi ya Eid El Fitr yaendelea katika hatua ya robo fainali leo 20/6/2017, katika uwanja wa machava.
Become Our Fan on Social Sites!
DARAJA LA KIGAMBONI (MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE BRIDGE)
0 comments:
Post a Comment
Subscribe to:
Comments (Atom)
BOFYA HAPA/ CLICK HERE
Labels
jamii
kimataifa
Kitaifa
MichezoNje
MichezoTZ
BARCLAYS PREMIER LEAGUE
Popular Posts
YALIYOJIRI KATIKA ANGA ZA KIMATAIFA
GUARDIOLA, MOURINHO UPINZANI KAMA SPAIN Matokeo ya EPL wiki hii: Man U, Man City zaendelea kutamba. KOCHA ATETEA KI...
HABARI ZA YALIYOJIRI KITAIFA
BRAZIL YAISAMEHE TANZANIA MABILIONI YA FEDHA YA 1979 Serikali ya Brazil imeisamehe Tanzania deni Dola 203milioni ambazo sawa Bilioni...
TASWIRA YA MJI MPYA WA KIGAMBONI
Mambo yameiva kwa wakazi wa Kigamboni, hii ni sehemu ya majengo ya utakao kuwa mji mpya wa Kigamboni kwa mujibu wa M...
HABARI ZA NJE YA TANZANI
BOTI YAZAMA, SITA WAFARIKI COLOMBIA Watu sita wamefariki dunia na wengine 16 hawajulikani walipo baada ya boti ya abiria kuzama j...
TAARIFA ZA MICHEZO KITAIFA
SAFU YA ULINZI TAIFA STARS INATIA MATUMAINI Rekodi zinaonyesha kwamba Taifa Stars ina ukuta usiopitika kirahisi. Timu hiyo i...
Copyright © 2016
Kwikwi Mpya
.
0 comments:
Post a Comment