VYOMBO VYA HABARI CHANGAMKIENI TENDA !
HUYU NI KIJANA MWENYE UWEZO ZAIDI YA HUU !!!
Kigamboni imejaaliwa vipaji vya kutosha katika nyanja mbalimbali wala sikudanganyi.
"Hadi Tutoke."
Sasa tunaanza na kijana Frank Mhina mwenye vipaji vya kipekee hapa Kigamboni. Utangazaji, Uigizaji, Ushereheshaji (MC), Kudensi na kadhalika. Hapa namleta kwenu kwa Picha.
COMING SOON !
Mawasiliano:
0786 - 690 770
au
0659 - 526 014



0 comments:
Post a Comment